×

The mboni show's video: SHOW: Mahojiano ya The Mboni Show na Sunday Shomari

@SHOW: Mahojiano ya The Mboni Show na Sunday Shomari
Sunday Shomari ni Mtanzania mkongwe kwenye Tasnia ya Habari makazi yake kwa sasa ni Marekani. Elimu yake ya habari aliipata Tanzania School Of Journalism (TSJ) mnamo mwaka 1995 mpaka 1999 alikuwa mtangazaji wa ITV/Radio One. Mungu mwema kwa sasa Sunday Shomari ni Mtangazaji wa kimataifa na anafanya kazi Voice of America (VOA). Baada ya Team ya The Mboni Show kufika Marekani Washington DC tulifanikiwa kufanya mahojiano na Mtanzania mwenzetu ili kujua zaidi Mapito ya maisha yake pamoja na ufanisi wake. Twende tukamtazame.

4

3
The mboni show
Subscribers
13.3K
Total Post
94
Total Views
873.9K
Avg. Views
12.7K
View Profile
This video was published on 2017-11-04 23:32:12 GMT by @The-mboni-show on Youtube. The mboni show has total 13.3K subscribers on Youtube and has a total of 94 video.This video has received 4 Likes which are lower than the average likes that The mboni show gets . @The-mboni-show receives an average views of 12.7K per video on Youtube.This video has received 3 comments which are lower than the average comments that The mboni show gets . Overall the views for this video was lower than the average for the profile.

Other post by @The mboni show