×

The mboni show's video: SHOW: Wema Sepetu amsaidia kutunga wimbo Diamond Platnumz

@SHOW: Wema Sepetu amsaidia kutunga wimbo Diamond Platnumz!
Kila kwenye Mafanikio ya mtu huwa lazima kunakuwa na historia yake na mapito ambayo kapitia. Leo Tunakurudisha nyumba kidogo Throwback The Mboni Show with Diamond Platnumz. Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva maarufu hapa ndani na nje ya Bongo Tz Diamond Platnumz, akiwa kwenye mahojiano katika kipindi kizuri kabisa Cha The Mboni Talk Show mnamo mwaka 2012 ndipo alipo funguka vitu vingi ikiwa ni pamoja na jinsi ambavyo Mpenzi wake wa zamani Wema Sepetu alivyo kuwa akimsaidia kutunga nyimbo. Diamond Platnumz aliuweka ukweli huo kwenye mahojiano yake na The Mboni Show bila ya kupepesa Macho. Ukitazama Show hii utavijua vingi Asante itazame mpaka mwisho ila usisahau ku- subscribe ili upate fursa ya kutazama Video zetu zote Cheers.

523

34
The mboni show
Subscribers
13.4K
Total Post
95
Total Views
874.3K
Avg. Views
12.5K
View Profile
This video was published on 2017-10-24 19:49:35 GMT by @The-mboni-show on Youtube. The mboni show has total 13.4K subscribers on Youtube and has a total of 95 video.This video has received 523 Likes which are higher than the average likes that The mboni show gets . @The-mboni-show receives an average views of 12.5K per video on Youtube.This video has received 34 comments which are higher than the average comments that The mboni show gets . Overall the views for this video was lower than the average for the profile.

Other post by @The mboni show