×

YPrince TZ's video: Y PRINCE- MAMA BONUS OFFICIAL VIDEO

@Y PRINCE- MAMA (BONUS) OFFICIAL VIDEO
Verse Mama kaniambia mwanangu kuwa na adabu si kila king'aacho ni dhahabu mmh chema kishike kibaya kituupe,usijetoka mapunye usije fanya ubaya ufumwee,mwananguu mabaya kataa kubali mema mwanangu,upate radhi ya dunia peleka ubaguzi wa rangi kwenye nguo na sio kwa watu ukipata ukikosa mshukuru Mungu cha mtu ni suumu binadamu hatufananii (iyeiyeiye) ulichopata kidogo weka mafungu na umwombe Mungu mioyo yetu hailinganiii chorus kasema mama(mamaaaa) kaniambia mama yanguu(mamaaaa) kasema maaaamaaa(mamaaaaa) kaniambia mama yanguuuuuuuu(mamaaaa) kasema maaaaaaaaaaaaaa verse Shika kalamu andika mazuriii na achaga kiburiiiiii domo lako lifunge kufuri,na usiwe jeuri,naa jitume shughuli(Mwanangu) aah sitaki zogozogo,fyokofyoko,dokodoko,lopolopo yaliyobusara yachukue (hee),kitanda chaga ufungue usije tukana mwanangu uumie,hali ya maisha uvumilie ulizaliwa unalia dunia mapambano uwanja wa vita epuka chabo kuchungulia,utaishia gerezani ukichukiwa acha kelele,acha mawenge,acha mapepe,heshimu yulee chorus kasema mamaa(mamaaa) kaniambia mama yangu(mamaaa) kasema maaaaamaaa(mamaaa) kaniambia mama yanguu(mamaaaa) kasema maaaaaaaaaaaaƗ2

1.3K

122
YPrince TZ
Subscribers
322K
Total Post
53
Total Views
26.7M
Avg. Views
503.5K
View Profile
This video was published on 2021-09-14 20:03:34 GMT by @YPrince-TZ on Youtube. YPrince TZ has total 322K subscribers on Youtube and has a total of 53 video.This video has received 1.3K Likes which are lower than the average likes that YPrince TZ gets . @YPrince-TZ receives an average views of 503.5K per video on Youtube.This video has received 122 comments which are lower than the average comments that YPrince TZ gets . Overall the views for this video was lower than the average for the profile.

Other post by @YPrince TZ